POLTICS/SIASA






MUNGU YUPO NA TUKIMWOMBA ANASIKIA.
Rasimu ya katiba imeonyesha jinsi ambavyo swala la MAADILI lina umuhimu kuliko chochote kwa taifa letu. Taifa  letu halijampa nafasi yake Mungu kama taifa. Hata utaratibu/ vigezo tunavyotumia kupata viongozi hatuweki swala la maadili ya mtu! Unawezaje kuwa kiongozi wa watu wakati hata mlango wa kanisa au msikiti hauujui! Ulevi umo, kupenda anasa umo. Uzinzi unajulikana. Hivi kweli tunaweza kuwalaumu hawa viongozi? Tujiangalie maana hata swala la USHIRIKINA ni janga la kitaifa! Angalia mauaji ya albino,vikongwe, viongozi kwenda kwa waganga, mji wa Dar umejaa mabango ya waganga wa kienyeji.

Kama tunataka suruhisho la yote haya LAZIMA TUTAFUTE MFUMO NA WATU WENYE MAADILI AMBAO NAAMINI TUNAO ILI TUSAFISHE TAIFA.
NINAPOSEMA HIVYO SIMAANISHI KWAMBA MAKANISANI NA MISIKITINI NI WASAFI SANA LA HASHA! HATA HUKO PANAHITAJI MFUMO NA WATU WANAOMUHOFU MUNGU KWELI KUPASAFISHA.
MWISHO SIASA ZA NCHI YETU ZINACHANGIA KUFICHA MAOVU. NITALIZUNGUMZIA HILO SIKU NYINGINE.
UZURI WA WATATNZANIA MUNGU ANAWALINDA.WANAOOMBEA TAIFA WASIACHE HATA KUJUA YOTE HAYA MUNGU ANAYAFUNUA ILI TUTAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA.TUSITEGEMEE MUNGU AJE ATUFANYIE KAZI HATA KIDOGO. ILA TUSIBEZE KWAMBA MUNGU HAYUPO. MUNGU YUPO NA ANARUHUSU TAARIFA HIZI ZINATUFIKIA BILA WASI WASI WOWOTE.
Swala la dawa za kulevya huwezi kulifumbia macho kama kweli wewe ni mtanzania anayependa taifa lake.
 

 

 

 

 

 

 




REGIONAL ANTI-CRIME DRIVE IN THE OFFING


THE CITIZEN: Monday, 18 March 2013 23:12

By Louis Kolumbia
The Citizen Correspondent
Dar es Salaam. Procedures are underway to execute the first ever regional anti-crime joint special operation between police in the Eastern and Southern African -- the goal being to eliminate transnational criminal activities.
Head of the Interpol Regional Bureau, Mr Chilika Simfukwe, said the operation would be conducted in the near future and would involve the Eastern Africa Police Chiefs Cooperation Organisation (Eapcco) and the Southern African Regional Police Chief Council Organisation (Sarpcco), whereby funds will be sourced from Interpol.
He was speaking yesterday in Dar es Salaam during the opening of the Sarpcco technical organs meeting involving directors of criminal investigations from the member states. The two-day meeting aims at coming up with a list of annotated agenda to be discussed by the chiefs of police to meet in May.
The meeting -- which drew participants from 11 countries -- would assess the progress made in the implementation of the Sarpcco extra ordinary meeting resolutions held last September in Zanzibar.
“I urge all directors of criminal investigation in the region to prepare adequately for this event,” Mr Simfukwe said.
However, Inspector General of Police Said Mwema -- who is chairman of the Sarpcco -- said they would not mention a day for the start of the operation over tactical reasons.
“If we mention the date on which we’ll commence the operation, we will be alerting the criminals,” he said.
He said an integrated approach involving strategic partnerships from both within the security sector and beyond was crucial to and sustainably counter contemporary and other forms of crime.
He said the region has seen proliferation of criminal violence in urban centres, especially through sustained threats to public safety. Such incidents have profound deleterious effects on the social, economic and political stability of communities and cities.
“In light of the intrinsic complexity of these crimes, effectively countering them will require pioneering strategies, perseverance, and truly coordinated approach from both within the security sector and beyond,” he said.
Mr Simfukwe added that issues discussed in the last extra ordinary meeting would be deliberated on to ensure they are executed.
There has been a notable surge in crimes of various forms from environmental, domestic and other crimes, coupled by the increased use of drugs and proliferation of illegal small arms.
For his part, Tanzania’s acting director of criminal investigation, Mr Isaya Mngulu, said they would do justice to the region by making the forthcoming joint operation a success.



 
EA OBSERVERS VOW TO BE FAIR IN KENYAN ELECTIONS
By The guardian reporter
4th March 2013

Abdulrahman Kinana
The leader of the EAC Election Observer Mission, Abdulrahman Kinana, has contended that the joint Mission will give Kenyans an opportunity to freely choose leaders of their choice.
Kinana made the remark when leaders of the East African Community (EAC)-Common Market for Eastern and Southern Africa (Comesa)-Inter-Governmental Authority in Development (IGAD) Election Observer Missions of Kenya General Elections held today paid an official visit to the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) offices in Nairobi, Kenya.

He also assured Kenyans that the team of observers will promote transparency and reinforce integrity and legitimacy of the election process. 

Kinana also expressed his satisfaction when he came to note that the IEBC had put in place a robust mechanism to ensure transmission of results from polling centres will be done through a secure system and that several back-up security measures are also in place. 

He noted that since the forthcoming elections are under a new constitution and different political dispensation, some hiccups are inevitable but everything has been done to ensure maximum success in the polls.
“I have full faith in IEBC’s ability to ensure free and fair elections,” affirmed Kinana, who was the First Speaker of the East African Legislative Assembly (EALA).

Ahmed Isaac Hassan, the IEBC Chairman briefed the Mission leaders on the ongoing preparations for the forthcoming elections including the voting simulation conducted countrywide, February 24, 2013, saying that the Commission has drawn vital lessons from the simulation exercise and is now working on areas that require improvement.
“The IEBC has been tried and tested in the management of elections; there is nothing to worry about,” he assured the team and Kenyans that the elections will be conducted in a peaceful, free and fair atmosphere, urging them not to worry and should show up to cast their votes today. 

The Chairman urged the contenders to urge their supporters to maintain peace and order during the elections, accept the results and to challenge the results legally if not satisfied.
The Chairman hailed the joint EAC-Comesa-IGAD Observer Mission saying their presence will contribute to promote democracy and good governance in Kenya.

The leaders of the Missions expressed gratitude to the Chairman of IEBC for the invitation to take part in the observation of the elections which they said demonstrated confidence in the regional economic communities in working together with Kenyans to ensure that they conduct peaceful elections. 

Dr Ghebray, leader of IGAD Mission, said the joint mission was not only observing the elections but also a goodwill mission for Kenyans. 

Ambassador Simbi Veke Mubako, leader of Comesa Mission, applauded the IEBC for the preparedness of the elections.

SOURCE: THE GUARDIAN





MAUAJI TENA ZANZIBAR
•  PADRI APIGWA RISASI AKIJIANDAA KUONGOZA IBADA


na Waandishi wetu


MATUKIO yenye taswira ya udini yameendelea kujirudia visiwani Zanzibar ambapo watu wasiofahamika, wamemuua kwa kumpiga risasi Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Minara Miwili, Evarist Mushi, jana asubuhi wakati akiegesha gari lake kanisani hapo.
Hili ni tukio la tatu kutokea visiwani humo ndani ya muda mfupi kwa viongozi wa dini kushambuliwa na kuumizwa, kwani Novemba 5 mwaka jana, Katibu wa Mufti wa Zanzibar, Sheikh Fadhil Suleiman Soraga alimwagiwa tindikali na mtu asiyefahamika iliyomwathiri sehemu kubwa ya mwili wake.
Desemba 26 mwaka jana, watu wasiojulikana walimpiga risasi Padri Ambros Mkenda wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae mjini Zanzibar na kumjeruhi.
Waumini wa kanisa hilo walioshuhudia tukio, walisema kuwa kabla ya Padri Mushi kufika eneo la kanisa, walionekana watu wawili ambao walikuwa na pikipiki wakiwa wamesimama kando ya barabara.
Kwamba alipoingia padri huyo eneo la kanisa kwa ajili ya kuongoza ibada, watu hao walimfuata na kumshambulia wakati akiegesha gari lake, na kisha kukimbia kusikojulikana.
Waumini hao ambao walikusanyika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, ulipohifadhiwa mwili wa marehemu, waliiomba serikali ichukue hatua kwa wahalifu hao, wakidai matukio hayo yamekuwa yakiwalenga Wakristo.
Akithibitisha tukio hilo, Kamishna wa Polisi Zanzibar, Musa Ali Musa alisema kuwa wanaendelea kuwasaka watuhumiwa hao kuwaomba wananchi kutoa msaada wa taarifa.
Naye Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Abdallah Mwinyi aliiomba serikali kuchukua hatua kwani wahalifu hao wanataka kuleta mfarakano kati ya Wakristo na Waislamu.
Kanisa laanda tamko
Askofu wa Jimbo la Zanzibar, Augustino Shayo alifika hospitalini hapo na kujadiliana na baadhi ya viongozi, na baadae mmoja wa viongozi waliokuwa na waumini hao kuwatangazia kurudi kanisani kuendelea na ibada.
Hata hivyo, waumini hao walipinga jambo hilo na kusema kuwa wataendelea kuwapo hapo hadi haki yao ipatikane, huku wengine wakitaka kuandamana ili kuonesha machungu yao.
“Leo tunaandamana tumechoka, tukio la kwanza tumevumilia na hili pia, hapa haki yetu ipo wapi? Tunamtaka Waziri wa Ulinzi kutoa tamko tukiwa hapa hapa," alisema mmoja wa waumini hao.
Kiongozi huyo alirudia tena kuwasihi waumini hao kuwa na moyo wa uvumilivu kama mafundisho ya dini na imani, na kuwaomba waelekee nyumba ya ibada kuendelea na misa ama kurudi majumbani, lakini hawakutii agizo hilo.
Akitoa msimamo wa kanisa majira ya saa nane mchana, msaidizi wa askofu, Padri John Mfoi aliwataka waumini kurudi nyumbani, na kwamba viongozi wakuu watatoa tamko rasmi hapo baadaye.
"Tayari uchunguzi umeshafanyika na kilichobaki sasa wanamshona na tunasubiri kuoshwa na kisha kuhifadhiwa rasmi. Viongozi wetu wanatarajia kukutana mapema jioni kupanga taratibu zote husika,” aliongeza Padri Mfoi.
Polisi wajipanga
Kufuatia mauaji hayo, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Said Mwema, alisema kuwa wanawashikilia watu watatu kuhusiana na tukio hilo.
Akizungumza na waandishi Dar es Salaam jana, Mwema alisema kuwa mara baada ya kupokea taarifa hizo tayari timu ya watu watatu imeenda kwa ajili ya kuanza kazi za kiuchunguzi.
“Taarifa hizo ni za kusikitisha sana na tayari nimetuma timu ya wataalamu waliobobea kwenye masuala ya upelelezi kwenda kufuatilia suala hilo, na tutawakamata tu kwa kuwa tunaweza kupambana na majambazi hatuwezi kuwashindwa wahalifu,” alisema.
Aliitaja timu ya upelelezi iliyokwenda Zanzibar kuwa ni Naibu Kamishna Samson Kasala ambaye atakuwa mpelelezi, Naibu Kamishna Peter Kivuyo kwa ajili ya ukusanyaji taarifa mbalimbali na Simon Siro kwa ajili ya operesheni.
Mwema alizitaja namba za mawasiliano kwa ajili ya kufanikisha upelelezi huo kuwa ni 0754 785557 na 0782 417247, na pia alishauri kutumika kwa namba za makamanda wa polisi wa mikoa, huku akiwataka wananchi kutoa taarifa zozote kuhusiana na tukio hilo kupitia namba hizo.
Alipoulizwa kama mauaji hayo yanahusiana na mtandao wa kundi la Al-Qaeda, Mwema alisema kuwa wamekuwa wakilifuatilia ili kujua lipo kundi hilo.
Kuhusu lawama za jeshi hilo kuchelewa kuchukua hatua nzito kama hii ya kuunda kundi la wapelezi walivyofanya sasa, alisema kuwa wamefanya hivyo mara kadhaa isipokuwa taarifa hazitolewi kwa uwazi kwa waandishi.
Alipoulizwa kama suala hilo linahusiana na masuala ya dini au siasa, Mwema alidai kuwa kuna mwelekeo huo.
Mbowe aivaa serikali
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimelaani matukio ya vurugu na mauaji yenye misingi ya tofauti za kidini, huku kikidai ni matunda ya mbegu ya udini na ukabila uliopandikizwa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nia ya kuvidhoofisha vyama vya upinzani.
Akifungua kikao cha viongozi wa chama hicho Kanda ya Kaskazini jijini Arusha jana, Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliitaka CCM na serikali yake kuhakikisha nchi inakuwa salama.
Alisema CCM kwa kudhani inavikomesha vyama vya upinzani, iliasisi, kueneza na kushabikia sera na chochoko za ubaguzi wa kidini kwa kuwadanganya wananchi kuwa, baadhi ya vyama ni vya kidini na kikabila, matokeo yake sasa udini umeanza kuwa kansa inayoitafuna taifa.
“CCM walidhani chokochoko za udini na ukabila zitaviangamiza vyama vya upinzani na kukisaidia kuendelea kusalia madarakani. Hawakujua wanapandikiza mbegu mbaya miongoni mwa Watanzania waliozoea kuishi kwa amani na umoja bila kujali tofauti zao za kidini na kikabila,” alisema.
Mbowe alisema kuwa CCM wamelikoroga, sasa lazima walinywe kwa kuhakikisha taifa linakuwa moja na lenye amani.
Alisema siyo sahihi viongozi wa dini, wawe masheikh, wachungaji, mapadri au mtu awaye yote, kushambuliwa, kumwagiwa tindikali wala kuuawa katika matukio yenye hisia na sura za kidini.
Mbowe alisema ni jukumu na wajibu wa serikali kuwahakikishia raia wake usalama wa maisha na mali zao.
Alisema chama chake kinaamini katika misingi ya taifa lenye haki, amani, umoja na mshikamano kwa watu wote bila kujali tofauti za kidini na kikabila.
Mbowe alisema misingi ya watu makabila yote hapa nchini wa imani tofauti za kidini, ya kuishi kwa kuheshimiana na kushirikiana, lazima ilindwe na kuendelezwa kwa kila mtu kutekeleza jukumu lake la kuenzi tunu hiyo iliyoasisiwa na kupiganiwa na waasisi wa taifa.
Katika vipindi tofauti, viongozi wa CCM na serikali yake walikaririwa wakitangaza kuwa Chama cha Wananchi (CUF) na CHADEMA vina misingi ya kidini na kikabila kama moja ya mbinu za propaganda.
JK aomboleza
Rais Jakaya Kikwete ameeleza kupokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya kuuawa kwa Padri Mushi mjini Zanzibar.
Katika taarifa yake kupitia Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Rais Kikwete aliwapa pole na rambirambi za dhati ya moyo wake Baba Askofu Shayo wa Jimbo Katoliki la Zanzibar na waumini wote wa Parokia ya Minara Miwili kwa msiba huo mkubwa uliowakuta.
“Napenda kuwahakikishia kuwa tupo pamoja katika kuomboleza kifo cha mpendwa marehemu Padri Mushi na msiba huu ni wa kwetu sote,” alisema.
Rais Kikwete alisema kuwa ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kukusanya nguvu zake zote na maarifa yake yote kuhakikisha kuwa uchunguzi wa kina na wa haraka unafanyika ili kubaini mhusika ama wahusika, na kuwakamata ili kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria.
Alisema kuwa anataka ukweli wake ujulikane ili kama kuna jambo lolote zaidi liweze kushughulikiwa na kukata mzizi wa fitina.
Waziri Nchimbi awasili
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi aliwasili visiwani hapa na kutembelea eneo la tukio alipouawa padre huyo kisha alifanya mazungumzo na waandishi wa habari.
Alisema tukio hilo ni la kigaidi, hivyo serikali haitalivumilia kamwe, na kuahidi kulishughulikia ili kuwabaini wahusika.
Nchimbi aliwataka waumini hao kuwa na utulivu kwa kipindi hiki, huku uchunguzi wa kina ukiendelea na kuvitaka vyombo vya ulinzi vya ndani na nje kushughulikia suala hilo.


Tanzania Daima jumatatu, 18 februari 2013

................................................................................

Police killings: Who's next?

The Citizen
Sunday, 06 January 2013 13:13
 

Pundits point to recent demonstrations in Dar es Salaam
In most cases of unlawful civilian killings by state agents, regional and district authorities have been unwilling to take action against the culprits according to a 2011 LHRC report.
By Louis Kolumbia
The Citizen Correspondent
Dar es Salaam. 2013 is shaping up to be as tense as last year for Tanzania, with pundits
saying that there is a high likelihood of more extrajudicial civilian killings if the government does not take deliberate action to end perceived injustices.
Analysts and social commentators told The Citizen on Sunday in recent interviews that the nation saw a record number of violent confrontations and civilian casualties in 2012 because the Kikwete administration has failed to resolve legitimate citizen grievances.
This year, those in power have to get their act together and offer wananchi opportunities to freely voice their opinions, according to scholars and political observers. Government also needs to safeguard the basic rights of its citizenry, they say.
“The next time something happens anyone could die so to ensure zero [civilian] killings in 2013, the government first needs to review how it hires law enforcement officers,” Hellen Kijo-Bisimba of the Legal and Human Rights Centre (LHRC) told this reporter.
Her agency has published reports that have put law enforcement officials squarely in the thick of events that led to unlawful civilian killings between 2003 and 2012. At least 22 people were murdered by the police, prison sentries, park warders and other officials last year alone, says the LHRC.
The human rights agency claims that most civilians were killed due to glaring shortcomings in the enforcement of the rule of law. Most deaths occurred during political rallies as a consequence of violent clashes between opposition supporters and police officials, they say.
Dr Kijo-Bisimba told this reporter that last year’s events are an indication that wananchi are frustrated. The Kikwete administration, she said, “needs to revise weak laws and to allow freedom of expression in accordance with the constitution.”
Unlawful civilian killings have adversely affected the political process in Tanzania, according to a 2011 LHRC human rights report. When the police brutally quash citizens during political rallies, their actions infringe on freedom of assembly, says the brief.
Chadema secretary-general Willibrod Slaa agrees with the LHRC assessment. “When the public feels ignored, the people might revolt against infringements on their rights,” he said. “Chances are they might be willing to die in pursuit of justice,” noted Dr Slaa.
Frequent demonstrations last year indicate that the public has had enough, according to the opposition strongman. “In 2013 the CCM government should direct its efforts into making sure that they redress citizen problems,” Dr Slaa said.
Dr Slaa promised Chadema will continue to encourage citizens to exercise their constitutional rights. The goal, he said, is to ensure the masses are neither sidelined by investor-friendly national policies on key natural resources nor are they made victims of corruption and oppression.
Others think the situation will only get worse in 2013. “Truth be told, the killings have barely started,” said Jukwaa la Katiba chairperson Deus Kibamba, who argues that Tanzanians are going through a social and political awakening.
“When citizens realize just how oppressed they are, more protests are likely to follow. This means more demos, more arrests and of course, more civilian killings as law enforcement and wananchi clash,” he said.
While he advises the government to take action against officials whose behaviour threatens peace in Tanzania, Mr Kibamba’s personal stance is decidedly more militant. “We don’t know who is next, but it is better a few people die for the liberation of millions,” he said.
The Inspector General of Police (IGP) Said Mwema decline to comment for this article. He did however; tell our reporter that to prevent extrajudicial killings in 2013, the Police Force has brought into play a major action plan on national security.
“I don’t have all the data with me, but details of [the Police Force’s] standby security strategies will be availed to you on Monday [tomorrow] if you don’t mind coming to my office,” said the police chief.
Plan or no plan, commentators hope the nation does not see a replay of last year’s reel. Events such as the killing of protestors in Songea last February and the brutal slaying of journalist Daudi Mwangosi at the hands of the police have tarnished Tanzania’s reputation, analysts say.
The 2011 LHRC report claims that before the February 22nd killing of Theodat Ngonyani and Mohamed Saidi in Songea, several local residents were killed in running battles with the police between February 18 and 19. In this, and similar cases of unlawful killings by state agents, regional and district authorities have been unwilling to take action against the culprits, according to the LHRC document.
A year earlier on May 16, clashes in Tarime had claimed 21 lives after a horde of frustrated locals descended on the North Mara Gold Mine in what analysts described as one of the most disturbing resources-related killings in Tanzania’s short history.
Couple these events with the fact that the Mwangosi slaying was the first ever instance of a journalist being killed in the line of duty in Tanzania, and you get the markings of an uncertain future for this nation: A future in which civilians and those charged with safeguarding their livelihoods bare their fangs at each other from polar ends of the socio-political spectrum.

No comments: