Thursday, April 7, 2011

MIMI NI NANI?


FAMILY OUTREACH TANZANIA
P.O.BOX 62443, DAR. +255 0754366523,Email:willbroad68@gmail.com


MIMI NI NANI?
Zab. 139: 14
Efeso 1: 3- 4

AHADI ZA MUNGU

  1. Isaya 49: 15- 16 – Hatakusahau
  2. “- 66: 13 – faraja
  3. Zab. 103:3
  4. Zab. 121: 3- 4
  5. Kumb. 30:19 – 20 maisha marefu
  6. Yeremia 1:5
  7. Zaburi. 24:1 – Mali ya Bwana
  8. Zaburi. 37: 25 – Mungu hatakusahau

MAAMUZI

1)    Daniel 1:3 – 4 – adui hutafuta wazuri
      Daniel 1: 8 – Zingatia moyo

AINA YA UPENDO (1 John 4:7 – 8)
                              i.        Upendo wenye ulinzi (Security love)
                            ii.        Upendo wa urafiki (Friendship love)
                           iii.        Upendo wa utoaji (Giving love)
                           iv.        Upendo wa mapenzi  (Romantic love)

KIJANA NA MABADILIKO

  1. Vijana pamoja na waazi hupewa ushauri na Elimu kupitia vyombo vya habari.
  2. Wazazi pamoja na vijana wao taarifa hizi huwachanganya
  3. Watu husema matatizo ya vijana huchipuka kutokea nyumbani.
  4. Kuna utengano kati ya wazazi na vijana wao GENERATION  GAP.
  5.  

MAANDALIZI YA VIJANA

  1. Mtu mzima hujengwa akiwa bado mdogo
  2. Misingi ya imara ya upendo na heshima huwekwa na wazazi utotoni.
  3. Wazazi hutakiwa kuishi mahusiano mazuri na Mungu ili vijana kadri wanavyokuwa watarisishwa hayo na kuyaishi pia.
  4. Kijana anachokiona kwa mzazi wake ni Lenzi ya kioo kuona ulimwengu ulivyo
9 – 12 miaka kijana huwa wazi sana.
1.    Kuwa kijana ni muhimu na ni kitu cha kufurahia  - HAKIRUDI.
2.    Wazazi wanawajibika kuandaa njia pale kabla ya kuingia jamuhuri ya ujana.
3.    Kijana akiwa na urafiki na mzazi au mlezi wake ataweza kuzungumza kuhusu
-          Misukumo Rika
-          Mahusiano
-          Urafiki aliojenga
-          Mamlaka
-          Tendo la ndoa
-          Upendo na Mungu (imani)
·         Wazazi hujisikia uzito kuongelea haya.

KIJANA NI NANI?

1.    Kijana ni watu wawili ndani ya mmoja
“ Between – age”
Mtoto na mtu mzima
·         Miaka 10 bado tegemezi na kucheza
-          Miaka 19 mtu mzima.
-          ANAWEZA KUCHELEWA
            2.  Mabadiliko haya sio marahisi
3.  Baadhi hutumbukia katiaka shida hii mpaka ile
4.    Mabadiliko yanaweza kuacha jeraha katika wanafamilia
5.    Chakusikitisha vijana baadhi huingia maswala ya mahusiano kabla hawajawa tayari kuwa na majukumu.
6.    Wazazi huitajika kipindi hiki kuwaundisha ju ya kufanya maamuzi  sahihi kazini,shuleni na nyumbani,
7.    Baadhi ya vijana huanza kutotii wazazi wao kwa sababu kutaka kuwaonyesha kwamba ni wakubwa sasa.
8.    Wazazi ambao hawajajiandaa vizuri hupata shida sana kipindi hiki.
9.    Wazazi hutakiwa kumwandaa kijana anayewajibika anayewezza kujitegemea na atakae kuwa mzazi mzuri pia.

MABADILIKO

  1. KIHISIA -Emotionaly
  2. KISAIKOLOJIA - Psychological
  3. KIAKILI - intellectually
  4. KIMWILI - physically
  5. KIJINSIA. -sexualy

A)   MABADILIKO YA KIJANA KIHISIA (EMOTIONALLY)
-          Vijana hakika ni wepesi kuharibika wakishikwa vibaya ! ni kama yai!
-          Ni lazima uwe makini nae karibu katika kila kitu hasa hisia zao.

                                                  i.        Kushindwa kitu au mtihani
                                                ii.        Kulalamikiwa na kutukanwa
                                               iii.        Kudhalilishwa mtizamo wa wazazi wao
                                               iv.        Kukataliwa na wenzao (peer group)
                                                v.        Kujihisi hajakamilika, hisia za kujishusha (feeling of inferiority)
                                               vi.        Kutoridhika na jinsi anavyoonekana, akili yake au uwezo wake.
                                              vii.        Wanaweza kujisikia kukosa matumaini na kukosa msaada * Wazazi kuwa walio hapa.
                                            viii.        Katika hali hiyo kukosa kujiamini  (self esteem)
                                               ix.        Kupanda na kushuka kwa hisia zao mara nyingi hushindwa kuzidhibiti.
                                                x.        Mabadiliko haya ya hisia yana uhusiano na mabadiliko ya HOMONI na mabadiliko ya mwili kukua.
-          Kijana hujisikia aibu sana
-          Mwingine kujiamibni sana au mkali/mjasiri
-          Wakati mwingine hushuka moya (moody) hasira au kukosa furaha au kinyume chake.
-          Wakijisikia vizuri kuheshimiwa na kueleweka basi huwa juu ya dunia kwa furaha.
-          Wakati mwingine hutaka wachukulwe ni watu wazima na baada ya muda mupi utawakuta wanalia kama watoto wadogo.

NOTE: Kipindi hiki ni muhimu wazazi wakawa IMARA KIHISIA ili waweze kumsaidia tineja!

B) MABADILIKO YA KISAIKOLOJIA (PSYCHOLOGICALLY)
1.    Vijana pia hujitambua kama mtu kamili tofauti na aliye simama.
                                                      i.        Kufikiri yeye mwenyewe bila msaada.
                                                    ii.        Kuwa mbai na maamuzi ya watu wazima
                                                   iii.        Wanahitaji sana kuhusiana na mtu au kuwa katika himaya ya mtu mwingine (NOT LONELY)
                                                   iv.        Kukubalika
-          Kuwa sehemu ya umati (Conform – social group)
-          Wanahitaji sana urafiki na watu maalum (Loging for friendship with special )
2.    Kuna wakati hujisikia kutengwa na kutoeleweka
-          Hujaribu kujitenga na wakati huo huo huogopa kukaa peke yao ili wasionekane tofauti !

C) MABADILIKO YA KIAKILI (Intellectuall)
Kijana hujifunza kutoa sababu ju ya jambo lolote yeye ya mwenyewe.

  1. Akili hukua haraka kipindi hiki
  2. Fulsa kupata ujuzi /Elimu, kupima, kanuni, kupima maoni na kulinganisha maoni.
  3. Hawapendi kutii bila kujua sababu ya kufanya hivyo.
  4. Hupenda kuwauliza watu wazima maswali ya kupata sababu ya jambo au maelezo ya ziada.
  5. Msisitizo uko juu ya sababu zaidi kuliko kuwavumilia wengine.

NOTE: Wazazi hupata shida sana eneo hili.

C) MABADILIKO YA KIMWILI(PHYSICALLY)
-          Hukua haraka kimaumbile * Mikono na miguu hukua kwanza
-          Ukuaji huu wa haraka unaweza kufanya mwili upate uchovu * Vijana wengi hupata matatizo ya ngozi

Positive side: kuwa na nguvu na uwezo zaidi * wengine hupeleka nguvu zao katika michezo na huurahia kuwa na afya njema.

NOTE: Wazazi wanahitaji kuwa wavumilivu wakati vijana wanajitahidi kuendana na miili yao mipya
-          Ni rahisi sana kuudhika
-          “simama vizuri wima”
-           “usitembee kizembe”

D) MABADILIKO KIJINSIA (SEXUALLY)
-          Vijana pia hukua haraka sana kijinsia.

WAVULANA : ALAMA ZA KUONEKANA  (Miaka 11 – 17)
-          Mwenekano usoni
-          Nywele sehemu za mwili
-          Sauti kuwa nzito
-          Baadhi ya sehemu za mwili kuongezeka ukubwa
-          Kuwa na mbegu za kiume (wet dreams)

WASICHANA:
-          Matiti hutokeza kifuani
-          Nywele kuota kwapani
-          Viungo vya uzazi ndani kukua
-          Kuingia kipindi cha hedhi (Menstruation) (miaka 9 – 15)

Kumbuka : tunapaswa kuwa makini na utani mbaya kuhusu maumbile.
-          Hujisikia vibaya kwa yae yanayowatokea wakati wa haya mabadiliko
    • Wote wana misukumo ya kimapenzi sana .

  1. Wavulana wanaweza kusababisha mimba lakini hawako tayari kijamii au kihisia kuchukua majukumu kama baba.
  2. Mimba inaweza kutungwa kwa binti lakini pakawepo na matatizo ya uzazi kutokuwa tayari kijamii na kijinsia .

MAWAZO POTOFU:
a)    Kusubiri bila kufanya tendo la ndoa uaweza kuugua.
b)    Tumbo likiuma tafuta mvulana (Menstution period)

MASWALI YANAYOULIZWA                                 

                                          i.        Ushoga,tendo la ndoa nje ya
                                        ii.        Marafiki wanaotaka kufanya tendo hilo
                                       iii.        Kuelekeza nguvu katika kazi nzuri, michezo sio, wizi ,ulevi, uzinzi n.k.

KUMBUKA: Wasichana hukomaa maema kuliko wavulana kijinsia.

WAZAZI: Wanatakiwa kueleza, kufundisha vizuri maana ya mapenzi, jinsia na uhusiano.
-          Wasipoundishwa au kutoa elimu sahihi ADUI anaendeea kutoa Elimu Potofu, kupitia marafiki na vyombo vya habari.

“UTAMADUNI WA VIJANA – (Youth Culture)

By WILLBROAD PROSPER

No comments: